GET /api/v0.1/hansard/entries/942061/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942061,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942061/?format=api",
"text_counter": 333,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wajir South, JP",
"speaker_title": "Mhe. Mohamed Mohamud",
"speaker": {
"id": 13506,
"legal_name": "Mohamud Sheikh Mohammed",
"slug": "mohamud-sheikh-mohammed"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii ya kuongeza sauti yangu katika kuunga mkono huu mpango wa kuidhinisha fursa ya lugha ya Kiswahili katika Bunge hili. Hii ni fursa ambayo tumeingoja kwa muda mrefu. Hayati Mzee Jomo Kenyatta, ambaye alikuwa Rais wa Kwanza wa Kenya; hayati Kwame Nkrumah, hayati Julius Nyerere na viongozi wengine wa Afrika, waliunga mkono Kiswahili kiwe lugha ya Afrika. Ni lugha ambayo ilizaliwa katika Bara la Afrika. Ni fursa muhimu sana tukijadiliana katika Bunge la Taifa kwa lugha ya Kiswahili."
}