GET /api/v0.1/hansard/entries/942062/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942062,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942062/?format=api",
    "text_counter": 334,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wajir South, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Mohamed Mohamud",
    "speaker": {
        "id": 13506,
        "legal_name": "Mohamud Sheikh Mohammed",
        "slug": "mohamud-sheikh-mohammed"
    },
    "content": "Kwa hakika, Hoja hii itabadilisha mambo mengi. Wananchi wa Kenya wanazungumza kwa lugha ya Kiswahili. Tukitumia Kiswahili, wataelewa ni mipango gani tunafanya katika Bunge kila siku. Kwa hivyo, itakuwa ni fursa nzuri sana kwa Wakenya wote wakisikia kila neno ambalo linasemwa Bungeni linasikika kila mahali. Kila Mkenya ataelewa kabisa. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii."
}