GET /api/v0.1/hansard/entries/942067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942067,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942067/?format=api",
    "text_counter": 339,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Turkana Central, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Lodepe Nakara",
    "speaker": {
        "id": 2926,
        "legal_name": "John Lodepe Nakara",
        "slug": "john-lodepe-nakara"
    },
    "content": "ningependa kusema kwamba siyo lazima tuongee Kiswahili sanifu. Iliyo muhimu ni kuwasiliana. Kwa hivyo, nawatia Waheshimiwa moyo. Tunapoongea, tujulikane tunawasilisha ujumbe fulani. Haijalishi lugha ambayo unatumia kwa maana yule mtu anayekutazama angependa kuelewa."
}