GET /api/v0.1/hansard/entries/942070/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942070,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942070/?format=api",
"text_counter": 342,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kama alivyosema Mhe. Naibu Spika, ni lazima Kanuni hizi zipigwe msasa ili unapoanza kuchangia kwa lugha moja, uendelee nayo mpaka mwisho. Hiyo si sawa kwa sababu hata wenzetu katika Bunge la Tanzania huwa wanachanganya lugha na hakuna shida yoyote."
}