GET /api/v0.1/hansard/entries/942074/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942074,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942074/?format=api",
    "text_counter": 346,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
    "speaker_title": "Mhe. (Bi.) Liza Chelule",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi niunge mkono mambo ya utumizi wa Kiswahili katika Bunge la 12. Nashukuru sana kwa sababu itatupatia nafasi sisi, kama Wabunge wa Bunge hili, tuelewe sana kuongea Kiswahili na hata kuandika."
}