GET /api/v0.1/hansard/entries/942077/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942077,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942077/?format=api",
    "text_counter": 349,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru CWR, JP",
    "speaker_title": "Mhe. (Bi.) Liza Chelule",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": "Kwa hivyo, nakupongeza wewe pamoja na team yako kwa sababu ya kufikiria tuanze kuongea Kiswahili katika Bunge la Taifa la 12. Kwa hayo machache, Mhe. Spika, ninaamini tutaendelea kutumia lugha ya Kiswahili kwa kutenga siku maalum ambayo tutaongea kwa lugha ya Kiswahili tuwe kama Watanzania. Asante sana."
}