GET /api/v0.1/hansard/entries/942078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942078,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942078/?format=api",
"text_counter": 350,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hatukuwa tumezuiwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tunalofanya ni kuhakikisha kuwa Kanuni zetu za Kudumu zimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili ijapo kuwa mbeleni ungetumia Kiswahili. Wengi wamekua wakichangia mijadala mbali mbali kwa lugha ya Kiswahili."
}