GET /api/v0.1/hansard/entries/942083/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942083,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942083/?format=api",
"text_counter": 355,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ruiru, JP",
"speaker_title": "Mhe. Simon King’ara",
"speaker": {
"id": 13468,
"legal_name": "Simon Nganga Kingara",
"slug": "simon-nganga-kingara-2"
},
"content": "Kenyatta, wakati anataka kuwasiliana na Wakenya anatumia lugha ya Kiswahili. Kwa nini sisi Wabunge tusiige huo mfano kwa kuendeleza Kiswahili kiwe njia moja ya mawasiliano hapa Kenya? Mengi yatasemwa lakini nakupongeza Mhe. Spika na nakuombea uendelee kuweka uzito kwa yale mema yatapatikana tukitumia lugha ya Kiswahili. Sitasema mengi ili nipatie mwanya wengime ambao wangependa kuchangia kama mimi. Asante, Mhe. Spika."
}