GET /api/v0.1/hansard/entries/942084/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942084,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942084/?format=api",
"text_counter": 356,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mheshimiwa, hata ile Hoja ambayo iko nyuma ya hii unaweza kuichangia ukitumia lugha ya Kiswahili. Hata yale yanayokuja, unaweza kuchangia ukitumia lugha ya Kiswahili. Kama vile nimetamka hapo awali, Hoja hii inahusu Kanuni za Kudumu tu. Sio nafasi ya Waheshimiwa katika Bunge hili kutumia lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, hata kwa Hoja ambayo inafuata, unaweza kuichangia ukitumia lugha ya Kiswahili. Ni kuitimisha sio kujibu. Hii ndio sababu sikumuelewa Mhe. Chris Wamalwa aliposimama akataja “kujibu”. Nilishindwa kama kuna mtu alikuwa ameuliza swali. Kwa hivyo, Waheshimwa mukikubali, tunaweza kumwalika mwenye Hoja kuitimisha. Ni sawa? Mhe. Sabina, dakika moja."
}