GET /api/v0.1/hansard/entries/942086/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942086,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942086/?format=api",
"text_counter": 358,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Shida sasa ni kuwa nikimpa nafasi mheshimiwa mmoja, mwengine anauliza mbona sio yeye amepewa nafasi. Mhe. K’Oyoo anasema anataka pia kuchangia. Nini kimetendeka leo? Kiswahili kimefurahisha wengi. Kuna mjadala kuhusu jambo nzito ambalo lilitajwa hapo awali. Hata ninaarifiwa kuwa Wabunge wengi wako pale nje wakingojea kuja kuchangia hiyo Hoja."
}