GET /api/v0.1/hansard/entries/942095/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942095,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942095/?format=api",
"text_counter": 367,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kuresoi North, JP",
"speaker_title": "Mhe. Moses Cheboi",
"speaker": {
"id": 329,
"legal_name": "Moses Kipkemboi Cheboi",
"slug": "moses-cheboi"
},
"content": " Mhe. Ndugu Spika, ninakubaliana nawe. Ni kama amri kwamba niwape nafasi Wabunge kama wawili. Ninajua kuna Mbunge wa Lamu ambaye alitusaidia sana na ninampatia dakika moja pamoja na Mhe. K’Oyoo, na akiharibu lugha polisi wanaweza kumshika. Halafu Mheshimiwa ambaye pia yuko kwa hiyo kamati ambaye tulikuwa naye hapo jana, kutoka Baringo. Wanne dakika moja kila mmoja."
}