GET /api/v0.1/hansard/entries/942104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942104,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942104/?format=api",
"text_counter": 376,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ganze, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Teddy Mwambire",
"speaker": {
"id": 13334,
"legal_name": "Teddy Ngumbao Mwambire",
"slug": "teddy-ngumbao-mwambire-2"
},
"content": " Asante sana Mhe. Spika kwa kunipa fursa nitoe mchango wangu. Moja kwa moja, nakupa kongole kwa kuwa wa kwanza kuleta tafsiri ambazo zitakuwa njema zaidi katika Bunge letu. Kwa miaka mingi, kutoka mwaka wa 1974 ambapo Bunge hili lilianza kutumia lugha ya Kiswahili rasmi, Kanuni za Bunge zingali katika lugha ya Kiingereza. Kupitia kwako, wema wako na Kamati ambayo unaongoza na mimi ni mmoja wa Wabunge, tumeweza kuleta tafsiri za Kanuni za Kudumu za Bunge hili. Hii imetupa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}