GET /api/v0.1/hansard/entries/942116/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942116,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942116/?format=api",
    "text_counter": 388,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kuresoi North, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Moses Cheboi",
    "speaker": {
        "id": 329,
        "legal_name": "Moses Kipkemboi Cheboi",
        "slug": "moses-cheboi"
    },
    "content": "Ni mazoezi kwa wale kama K’Oyoo ambao hawaelewi Kiswahili vizuri. Nikimalizia, ni shukrani sana kwa Wabunge ambao wamechangia na wale pia wameketi hapa kusikiza. Sio kawaida Wabunge kukaa na kufuatilia Hoja mpaka dakika kama hii. Nashukuru afisi ya Spika. Pia, nashukuru afisi ya Karani wetu wa Bunge. Kazi ambayo wameiweka hapa ni ya maana sana. Naomba kuhitimisha. Asante sana, Mhe. Spika."
}