GET /api/v0.1/hansard/entries/942291/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942291,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942291/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Ni kweli, Bwana Naibu wa Spika. Hata baba alisema Kiswahili kilianza Pate. Akatoa historia yote mpaka kikakufa huko Congo. Lakini kilipata ugonjwa hapa Nairobi. Makala ya 53 (b) ya Katiba inasema ni haki ya kila mtoto kupata elimu ya bure. Makala ya 55 (a) inasema kuwa Serikali ina jukumu la kuhakikisha vijana wapate elimu na ujuzi. Basuba The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}