GET /api/v0.1/hansard/entries/942784/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 942784,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942784/?format=api",
    "text_counter": 358,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bura, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Wario",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Pili, tuliambiwa eneo letu litafanywa mbuga ya kitaifa ya wanyama. Sasa mimi nimeduwaa. Je, unabomoa nyumba elfu moja ili kuruhusu wanyama waishi? Unahamisha wanadamu na kupeana fursa kwa wanyama! Miaka arobainne wakati watu wakiishi hapo, mbuga ya wanyama ilikuwa wapi? Ni dhuluma ilifanyika dhidi ya watu wangu. Dhuluma imefanyika Kalalani, Kiwanja na Inyali. Ni dhuluma isiyostahili kufanyiwa kwa mwanadamu yeyote katika The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}