GET /api/v0.1/hansard/entries/942797/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 942797,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942797/?format=api",
"text_counter": 371,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garsen, JP",
"speaker_title": "Hon. Ali Guyo",
"speaker": {
"id": 13336,
"legal_name": "Ali Wario Guyo",
"slug": "ali-wario-guyo-2"
},
"content": " Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Ninatoa shukrani zangu kwa ndugu yangu Wario kwa kunipatia fursa hii. Kwanza, watu wetu ndio wamedhulumiwa na serikali bali sisi ni Wakenya. Sehemu ambayo ametaja Kalalani imekuwa hata kabla huyu Mhe. azaliwe. Kwa hivyo, akidai Kalalani iko kwake anatushangaza. Huko Tana River tuko na game reserves nyingi sana kama nusu ya Tsavo National Park,"
}