GET /api/v0.1/hansard/entries/943096/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 943096,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943096/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, nakubaliana na Sen. Cheruiyot kwa sababu Ripoti yenyewe ina kurasa 76. Pengine tungevunja rekodi ya dunia kuisoma kwa dakika 15. Huenda hapo ndipo makosa yalitokea. Nakubaliana na Ripoti hii. Nimechangia yangu kuihusu."
}