GET /api/v0.1/hansard/entries/943264/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 943264,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943264/?format=api",
"text_counter": 17,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili pia mimi niongeze kuunga mkono hii Kauli ya ndugu yangu mdogo, Sen. Loitiptip, Seneta wa Lamu. Bw. Spika, jambo la kusikitisha ni kwamba, kwa miaka mingi, tumeona watu wa Lamu wakiwa kana kwamba sio Wakenya. Jambo la kwanza ni kwamba, hata ardhi ya watu wa Lamu pia imekuwa sasa sio yao. Watu wa Lamu wenyewe wanajulikana kwamba wanao Uamu wao. Lakini hivi sasa, ukifika huko, ni jambo la kusikitisha kuona The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}