GET /api/v0.1/hansard/entries/943267/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 943267,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943267/?format=api",
"text_counter": 20,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Bw. Spika, kwa hivyo pia mimi nimepata fursa hii ili nimuunge mkono Mhe. Loitiptip kwa sababu hiyo shida anayopata na watu wa Lamu, watu wa Kwale pia tuko na shida kama hiyo. Hivi leo, watu wa Bwawa la Mwache na sehemu nyingine kule Dongo Kundu hawajalipwa. Hiyo yote ni kwa sababu kuna watu waliozembea kulipa malipo haya. Bw. Spika, kwa hivyo ile kamati itakayohusika kuchunguza mambo hayo – ambapo pia mimi ni mmoja wao katika Kamati ya Ardhi – iende ichunguze mambo ya malipo ya hawa watu. Ninaunga mkono. Asante sana."
}