GET /api/v0.1/hansard/entries/943293/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 943293,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943293/?format=api",
    "text_counter": 46,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, Bunge la Seneti lazima lijitokeze wazi wazi na kuhakikisha kuwa walemavu katika taifa letu la Kenya hawateseki. Shule kama vile Thika School for the Blind ilianzishwa hata kabla nchi hii kupata Uhuru. Shule hiyo inasaidia watoto wengi vipofu hapa Kenya. Mzazi yeyote aliye na The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}