GET /api/v0.1/hansard/entries/943294/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 943294,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943294/?format=api",
"text_counter": 47,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "mtoto kipofu au kiwete humpeleka huko. Shule hiyo inasaidia kila Mkenya kwa sababu wanafunzi wa shule hiyo hutoka kila eneo la Kenya. Ni aibu kuwa, pesa za kuwasaidia wanafunzi vipofu au wenye ulemavu fulani haziwafikii. Hayo ni mateso na huenda watoto hao wakafa. Ninavyoongea sasa, Thika School for the Blind haina pesa za chakula. Hiyo inamaanisha kuwa wanafunzi hao wanateseka. Sen. Mwaura ameleta Kauli ya maana sana na ninaiunga mkono."
}