GET /api/v0.1/hansard/entries/943327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 943327,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943327/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ninaungana na wenzangu kumpongeza Sen. Shiyonga kwa kutunukiwa. Sen. Shiyonga ni mtu tunayemjua kwa kujitolea vizuri. Kwa hivyo, hii shahada ama kikombe alichopewa ni kwa sababu ya mambo aliyoyafanya, kwanza kabisa kwa kuwaangalia wajane na vijana. Hii ni kwa sababu hao ndio watu wanaonekana kama watu waliotengwa katika jamii zetu; wameachwa na hawaangaliwi kwa njia ifaayo. Kwa hivyo, ninataka kumpongeza na kumwambia kwamba, ni vizuri wakati akiangalia Kakamega, pia aangalie Bungoma na Kenya nzima, ndiposa anapopewa zawadi tofauti, ionekane---"
}