GET /api/v0.1/hansard/entries/943329/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 943329,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943329/?format=api",
    "text_counter": 82,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nikisema Bungoma, ninamaanisha Kenya nzima. Nimesema hivyo kwa sababu Bungoma ni jirani yake, na ni vizuri mtu aanze kuhubiri Yerusalemu kabla hajaenda Judea na sehemu zile zingine. Kwa hivyo, sisi tunakupongeza na tunasema uendelee Kenya mzima, jumuia ya Afrika Mashariki na hata Afrika ndio uweze kupokea shahada tofauti. Sisi tunakufurahia na tunasema asante."
}