GET /api/v0.1/hansard/entries/943694/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 943694,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943694/?format=api",
"text_counter": 447,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, Seneta wa Jiji la Nairobi alikuwa amesimama pamoja na Seneta Maalum wa Kiambu, Sen. Mwaura wakishauriana kwa sauti kubwa ambayo ni kinyume na Kanuni za Bunge. Kwa hivyo nikawaomba kwamba watupe fursa ya kuhudumia wananchi wetu. Kwa hivyo ilikuwa ni sawa Seneta wa Nairobi achukue kiti chake ili aweze kuona vile atawafanyia kazi watu wa Nairobi. Asante, Bi. Spika wa Muda."
}