GET /api/v0.1/hansard/entries/943699/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 943699,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943699/?format=api",
    "text_counter": 452,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, Serikali inapaswa iteuwe Tume maalum ya kuchunguza mkasa kama ule ama kuwe na tume ya kudumu ambayo itakuwa inachunguza mikasa kama hii ambayo inatokea katika nchi yetu. Kwa kumalizia ni kwamba mimi mwenyewe binafsi nilizuru Shirika la Kenya"
}