GET /api/v0.1/hansard/entries/943701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 943701,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/943701/?format=api",
    "text_counter": 454,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "wakati mkasa ulipotokea na vile vile wakati miili za marehemu zilikuwa zinatolewa, nilikuwa pale na nikashuhudia zoezi lile likiendelea. Kazi ambayo ilifanyika pale ilikuwa kazi ngumu sana kwa wanamaji wetu. Pia, tungependa kuchukua fursa hii kuwapongeza wanamaji wetu kwa kazi yao nzuri waliofanya. Ukiangalia katika kile kivuko cha ferry, ni kama Thika Highway kwa sababu meli zote kubwa zinaingia pale, zinazoleta makasha na kutoa mizigo katika Bandari ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}