GET /api/v0.1/hansard/entries/944383/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 944383,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/944383/?format=api",
    "text_counter": 355,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu wa Spika. Huo uamuzi ni wa weledi, stadi na ambao umefanywa kwa uangalifu mwingi. Utaleta afueni kwa watu wa Kaunti ya Taita/Taveta. Watajivunia kwa sababu wanategemea Bunge la Seneti kutatutua shida zao. Mimi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ugatuzi, tumekuwa na mgogoro wa hapa na pale. Nina hakika kuwa wewe ndiwe ulikuwa tegemeo lao na uamuzi uliofanya utakuwa wa manufaa yao na Kenya kwa jumla."
}