GET /api/v0.1/hansard/entries/945448/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 945448,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/945448/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Siku ya Jumamosi ilianza vizuri. Sisi Waisilamu siku zetu zinaanza jioni, yaani baada ya Sala ya Magharibi ndipo tunaanza siku ya pili. Kwa mfano, leo ikifika magharibi, kesho itakuwa tumeanza siku ya Alhamisi. Tulichanganya ushindi wa Eliud Kipchoge pamoja na Brigid, ikawa yote ni siku ya Jumamosi. Kwa hivyo, siku ya Jumamosi kwetu ilikuwa nzuri sana."
}