GET /api/v0.1/hansard/entries/945827/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 945827,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/945827/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": " Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika. Naunga mkono Mswada huu. Mambo ya wanyama wetu ni mengi. Niko katika Kamati ya Ukulima. Kila wakati huwa tunajiuliza ni kwa nini wafugaji wetu hawana njia yoyote ya kufaidika kutokana na wanyama wao. Sababu ya kutofaidika ni kwamba hawana soko lolote la kuuza wanyama. Hawana mahali pa kuchinjia wanyama. Katika Kenya nzima, hakuna mtu anayeweza kula chakula bila nyama. Unapokula nyama ndipo unahisi umekula chakula. Wanaofuga wanyama huwa wanaumia sana kwa sababu wakati wa ukame, wanyama wote wanakufa kwa sababu hakuna mahali pa kuwauza. Wakati mvua inaponyesha na wanyama wanapopata nguvu, wafugaji wanakosa mahali pa kuwauza. Ni muhimu kwangu kuunga wenzangu mkono kusema kuwa tuwe na bodi ya kushughulikia mambo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}