GET /api/v0.1/hansard/entries/946151/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 946151,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/946151/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Kamati yake wazunguke Kenya nzima kwa sababu kuna shida ya misitu kila pahali, haswa katika Kaunti ya Samburu. Tuko na shida kubwa. Wengine wetu ni wakimbizi. Tulizaliwa kwenye msitu na hatuna mahali pakuita kwetu hadi leo. Kwa hivyo, naomba kuwa ikiwa watarudia, wazunguke Kenya yote. Asante."
}