GET /api/v0.1/hansard/entries/946152/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 946152,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/946152/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Spika",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Lakini hilo litakuwa jukumu kubwa sana. Nakuomba, Mhe. Leshoomo, uhimize wakazi wa Samburu walete ombi ndio Kamati itembelee Samburu. Tukisema Kamati izunguke nchi nzima, itachukua muda mrefu. Najua Kamati ambayo imezunguka nchi mzima na imechukua muda mrefu, tangu Mwezi wa Tano mwaka jana. Tukisema Kamati ya Bunge izunguke nchi nzima, haitafanya kazi nyingine. Kwa hivyo, tunakuomba kwamba yanayowakera unaowawakilisha kule Samburu uyaandike ama wao waandike kwenye ombi ama p etition kisha Kamati iwatembelee huko. Kwa sasa, wacha Kamati imalize jambo hili halafu wataangalia ombi lako kama utalileta. Hon. Pukose, do you still want to weigh in?"
}