GET /api/v0.1/hansard/entries/946611/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 946611,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/946611/?format=api",
"text_counter": 297,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, ninashuku kwa nini Mwenyekiti wa County Public Accounts and Investment Committee amekuwa akipokea barua ambazo zinapaswa kuwa zikichukuliwa na Seneti? Ninasimama kuunga mkono Hoja hii ambayo inabuni Kamati ya kumtimua gavana. Ninakubaliana na Hoja hii kwa sababu Maseneta ambao---"
}