GET /api/v0.1/hansard/entries/946616/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 946616,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/946616/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu Maseneta ambao wameteuliwa kwa Kamati hii wanauzoefu na ujuzi. Kwa hivyo, watafuatilia mambo haya kwa marefu na mapana. Kamati ya Ugatuzi imekuwa ikifuatilia mambo ya Taita Taveta. Lakini hilo silo jambo ambalo linashughulikiwa hapa leo. Wakati utakapofika, tutaeleza kinagaubaga hili yale ambayo yamekuwa yakiendelea pale yaeleweke vizuri."
}