GET /api/v0.1/hansard/entries/947290/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 947290,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/947290/?format=api",
"text_counter": 71,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Kusema kweli, imekuwa vigumu hata kwa wakulima wanaopeleka mazao yao kwa mashirika ya Serikali kupata malipo yao. Hii ni kwa sababu kidogo, sheria ina kizungumkuti, na inazuia wasiweze kulipwa kwa muda The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}