GET /api/v0.1/hansard/entries/947291/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 947291,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/947291/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "unaofaa. Jana tulikuwa tunazungumzia maswala ya majani chai hapa, na tulipata kwamba wakulima wengi wa majani chai wanapata shida kukidhi haja zao, kwa sababu ya kucheleweshwa kwa malipo yao. Kwa hivyo, Bw. Naibu Spika, suala hili ni muhimu na ningependa kujiunga na wenzangu kusema kwamba ile Kamati husika itakayo chunguza malalamiko haya ya mzalendo huyu, inafaa ije na mikakati ya kisawa sawa kuonyesha kuwa wanakemea suala ili. Vile vile, Kamati hii inafaa itoe muongozo wa vile sheria inaweza kusaidia watu hawa kulipwa kwa wakati."
}