GET /api/v0.1/hansard/entries/947748/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 947748,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/947748/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii. Ijapokuwa umenipunguzia muda kwa dakika tano, nitazitumia vilivyo. Kwanza, ninaunga mkono Mswada huu kwa kusema kuwa mambo ya ufisadi sio mambo mazuri kufanyika katika nchi yoyote. Ni vizuri sana kuona kile kitengo cha kupambana na ufisadi kuwa kimeweza kufanya kazi yake bila kuogopa na vilevile kutumia fursa kuona kuwa watoto wa shule wanaweza kufundishwa kuhusu mambo ya ufisadi ili waweze kujua kuwa hii si tabia nzuri katika nchi inayoendelea. Nikitoka kwenye mambo ya ufisadi, ninaingia katika hii mada ya economic crimes, yaani uhalifu wa kiuchumi. Mswada uko sawa kabisa kwa sababu nikiwa Mbunge kutoka Mombasa, kuna mambo ambayo yamenigusa. Tukiangalia mambo ya kiuchumi kama watu wa Mombasa, tumeumizwa sana kulingana na hali ilivyo kwa wakati huu. Tukiangalia mambo ya SGR, mambo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}