GET /api/v0.1/hansard/entries/947754/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 947754,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/947754/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": " Huo ni ufisadi. Ni ufisadi kuambia watu kuwa SGR lazima ibebe makasha peke yake. Bado niko katika mada ya Mswada huu nikizungumza mambo ya ufisadi. Ni ufisadi mkubwa kuambia watu wapakie makasha katika SGR na si malori. Leo, ninasema tunajitayarisha kushtaki Serikali ya Kenya katika Korti ya Afrika Mashariki mpaka tukomboe watu wa Mombasa. Ahsante na Mungu atubariki."
}