GET /api/v0.1/hansard/entries/947918/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 947918,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/947918/?format=api",
    "text_counter": 17,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi ya kuchangia. Suala la ardhi ni suala tata sana, na ni donda sugu. Limetatiza kaunti nyingi. Inatatiza sana kuona watu ambao wameishi katika ardhi kwa muda wa zaidi ya miaka 200 wakifurushwa. Kwenye ardhi hiyo, kuna nyumba na visima. Serikali inakuja na kufanya"
}