GET /api/v0.1/hansard/entries/947920/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 947920,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/947920/?format=api",
"text_counter": 19,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "bila ya wakazi kujua. Barabara inapitishwa hapo. Kule Lamu watu wamekatiwa mnazi na kufidiwa Kshs3,000, ilhali mnazi huo kwa mwaka mmoja unakupatia zaidi ya hizo Kshs3,000. Kwingineko kwenye kaunti hiyo hiyo, gogo la stima kupitia shambani mwake amelipwa Kshs500,000. Kwa hivyo, unashangaa ni njia gani zinatumika ndiyo watu wengine walipwe zaidi na watu wengine wanyanyaswe. Ahsante Mhe. Spika."
}