GET /api/v0.1/hansard/entries/948273/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 948273,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/948273/?format=api",
"text_counter": 372,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili niongeze sauti yangu na kuwatia moyo wanakamati kwa kazi hii ambayo wameifanya. Suala hili la wafanyikazi kwenda nchi za nje au ng’ambo limeleta utatanishi hapa nchini."
}