GET /api/v0.1/hansard/entries/948277/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 948277,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/948277/?format=api",
    "text_counter": 376,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Pia, Kamati hii ilipokwenda kule ilikuwa na shida. Haingekutana na wale wameenda kule kupitia njia zisizo halali. Wakijua Ubalozi umehusishwa, wanakuwa na uwoga. Basi, swali ambalo tunabaki nalo ni kuwa, je, tutabana vipi njia zile zinazotumika ambazo si halali?Naipongeza Kamati. Imejaribu lakini katika masuala haya, ni lazima Wizara ya Wafanyikazi na Wizara ya Nchi za Kigeni ziangalie zaidi kwa undani jambo hili ili tufunge pahali panapotatiza."
}