GET /api/v0.1/hansard/entries/948291/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 948291,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/948291/?format=api",
    "text_counter": 390,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Bi Naibu Spika wa Muda. Nimepitia pendekezo la Ripoti ya Kamati. Mwanzo ningependa kuipongeza Kamati kwa kazi yao nzuri. Ripoti inasema kuna shida na mojawapo ni kwamba wale wanaoenda kufanya kazi nje ya nchi au Arabuni wanapitia njia za mkato. Ninajua sababu hiyo ni kutokana na njaa. Kama hawapati kazi hapa, inabidi waache makwao waende wafanye kazi sehemu zingine. Jambo hilo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}