GET /api/v0.1/hansard/entries/948292/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 948292,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/948292/?format=api",
    "text_counter": 391,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "liko. Kuna mwimbaji aliyesema kuwa watu waacha kwao kwa shida za kilimwengu. Kama kungekuwa na kazi kwetu, watu hawangewacha makwao, wangefanya kazi hapa. Kuna sababu ya wao kuenda kule. Nafasi ziko kule na nafasi hizo tunafaa tutilie mkazo tuzipate."
}