GET /api/v0.1/hansard/entries/948795/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 948795,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/948795/?format=api",
    "text_counter": 377,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, mito mingi katika nchi yetu imekauka, na maisha kuharibika. Janga hilo limeletwa na ukosefu wa miti katika misitu ya asili na katika milima ambayo mito yetu hutoka. Kaunti ya Tana River imeathirika pakubwa, kwani mito mitano ilikauka hivi majuzi. Hii ni kwa sababu miti imekatwa kwa wingi katika sehemu ambazo mito hiyo inatoka. Mvua imekosekana kutokana na uhaba wa miti katika misitu. Jangwa imetokana na hali hiyo, ambayo ni hatari katika maisha ya binadamu."
}