GET /api/v0.1/hansard/entries/948798/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 948798,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/948798/?format=api",
"text_counter": 380,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "miche ya kukuza misitu, tutatengeneza nchi ya Kenya, na tutapata mvua na hewa safi. Kwa hivyo, hatuna budi, kama Seneti, kuunga mkono Hoja hii. Kwa hivyo, Bi. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii. Asante kwa kunipa nafasi."
}