GET /api/v0.1/hansard/entries/949265/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949265,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949265/?format=api",
"text_counter": 58,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipatia nafasi hii. Naunga mkono Mswada huu wa wafanya biashara wadogo wanaofanya biashara zao katika sehemu za barabarani, vitongojini na katika vituo vya mabasi na matatu ambao wamedhulumiwa kwa muda mrefu sana. County Council ya zamani iliweka askari wa kuwafukuza The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}