GET /api/v0.1/hansard/entries/949271/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949271,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949271/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Ningependa kuarifiwa na Seneta anayeongea, ni wapi anamaanisha barabara kwa sababu hapa tuko katika Seneti. Sijui anamaanisha barabara gani kwa sababu sioni barabara yoyote hapa. Na mzee ni yupi?"
}