GET /api/v0.1/hansard/entries/949288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949288,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949288/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii ili kuunga mkono Mswada huu ulioletwa na Seneta wa Kirinyaga, ambao ni Mswada muhimu sana. Nimefurahi kwamba huu ni mojawapo ya Miswada ambayo magavana wetu wameweza kuifikiria na, kupitia wenzetu, kuuleta Mswada huu. Gavana Mwangi wa Iria ndiye aliyeuleta Mswada huu katika Bunge la Seneti kupitia Seneta mwenzetu. Ingawa kuna vipengee kadhaa ambavyo lazima tutaangalia, kukagua na labda kuleta mabadiliko kwayo, huu ni Mswada mzuri sana. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}