GET /api/v0.1/hansard/entries/949293/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949293,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949293/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wetangula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 210,
        "legal_name": "Moses Masika Wetangula",
        "slug": "moses-wetangula"
    },
    "content": "Ningependa kumuarifu Seneta wa Mji mkuu wa Nairobi kwamba katika Bunge la Kaunti ya Mji mkuu wa Nairobi, chama anacho wakilisha hapa Seneti kina wingi wa waakilishi wadi kupindukia. Kwa Kiingereza, naweza kusema kuwa wako na super majority . Wao ndio wanaopitisha miswada ya kulipisha wafanye biashara na wachuuzi wa reja reja hizo pesa chungu nzima anazo zungumzia. Kwa hivyo, nakuarifu ya kwamba unafaa kuanza kwa kuzungumza na hao waakilishi wa wadi wa chama chako ili waende wandoe ushuru. Pia, wahakikishe kwamba wachuuzi wanapewa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}