GET /api/v0.1/hansard/entries/949296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949296,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949296/?format=api",
    "text_counter": 89,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Bw. Spika, shida yao kubwa ni kwamba ukienda soko za Marigiti, Gikomba ama popote pale, hawana shida na kulipa ada, bora soko zisafishwe, wapate usalama na wasi dhulimiwe na serikali. Zaidi ya hayo, sio vizuri kwamba mtu analipa ada na hizo hela hazitumiwi kwa njia ambayo inafaa."
}